Isaiah 32:4


4 aMoyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu na kuelewa,
nao ulimi wenye kigugumizi utanena kwa ufasaha.
Copyright information for SwhKC